Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
Wiktionary
Tafuta

sitiari

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

sitiari

  1. Mbinu ya kisanaa ya kutumia neno moja kumaanisha jambo lingine kwa kulinganisha au kuashiria.

Mfano

[hariri]
  • Yeye ni simba katika ulingo wa soka. (Hapa "simba" inatumika kama sitiari kumaanisha nguvu na uhodari wa mchezaji).
  • Macho yake ni mawingu mazito, (Hapa "mawingu mazito" imetumika kumaanisha huzuni au uchungu wa macho yake).

Tafsiri

[hariri]

Kiingereza:metaphor

Rudishwa kutoka "https://sw.wiktionary.org/w/index.php?title=sitiari&oldid=136273"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp