Umbo lake ni kama bomba jembamba upande wa mdomoni na pana upande unaotokeasauti.
Inapatikana koteduniani.Hewa inapulizwa ndani kwamdomo kupitiashimo; mkondo wa hewa unapita kwenye kona kali ambako unaanza kutingatinga ukisababishanguzo ya hewa iliyopo ndani ya bomba kutingatinga pia; mitetemo hii nisauti.
Urefu wa bomba unafanyatabia ya sauti; kama ni fupi linatoa sauti ya juu; kama ni refu lina sauti ya chini.
Zumari nyingi huwa na mashimo kanda yanayofunikwa na kufunguliwa kwavidole. Kwa kufungua shimomchezaji anafupisha au kurefusha nguzo ya hewa ndani ya zumari inayotingatinga na kubadilisha sauti hivyo.
Kuna muundo kadhaa:
shimo la kupulizia liko upande wa pembeni wa filimbi
shimo liko mwanzoni wa bomba la filimbi
kuna bomba moja lenye mashimo ya pembeni kwa kubadilisha sauti
kuna mabomba bila mashimo ya pembeni yaliyounganishwa pamoja; kila filimbi ina sauti yake na mchezaji anateleza mdomo wake juu ya mashimo ya mabomba akipiga muziki yake.
Buchanan, Donna A. 2001. "Bulgaria §II: Traditional Music, 2: Characteristics of Pre-Socialist Musical Culture, 1800–1944, (iii): Instruments".The New Grove Dictionary of Music and Musicians, second edition, edited byStanley Sadie andJohn Tyrrell. London: Macmillan Publishers.
Crane, Frederick. 1972.Extant Medieval Musical Instruments: A Provisional Catalogue by Types. Iowa City: University of Iowa Press.ISBN0-87745-022-6
Phelan, James, 2004.The Complete Guide to the [Flute and Piccolo], second edition. [S.l.]: Burkart-Phelan, Inc., 2004.ISBN0-9703753-0-1
Putnik, Edwin. 1970.The Art of Flute Playing. Evanston, Illinois: Summy-Birchard Inc. Revised edition 1973, Princeton, New Jersey and Evanston, Illinois.ISBN0-87487-077-1
Toff, Nancy. 1985.The Flute Book: A Complete Guide for Students and Performers. New York: Charles's Scribners Sons.ISBN0-684-18241-6 Newton Abbot: David & Charles.ISBN0-7153-8771-5 Second Edition 1996, New York: Oxford University Press.ISBN0-19-510502-8
Wye, Trevor. 1988.Proper Flute Playing: A Companion to the Practice Books. London: Novello.ISBN0-7119-8465-4
Maclagan, Susan J. "A Dictionary for the Modern Flutist", 2009, Lanham, Maryland, USA: Scarecrow Press.ISBN978-0-8108-6711-6
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuZumari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.