Ziwa Manyara
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
3°35′S35°50′E / 3.583°S 35.833°E /-3.583; 35.833
Ziwa Manyara nimoja kati yamaziwa ya Tanzania, lasaba kwa eneo. Ukubwa wake niKm² 470.Kina chake hakizidimita 3.7.
Linapatikanakaskazinimashariki, katikaWilaya ya Babati,Mkoa wa Manyara.
Lipo ndani yaBonde la Ufa la Afrika Mashariki na ndani yahifadhi ya taifa likiwa kivutio kikubwa kwawatalii kutokana na wingi wandege aina yakorongo walio na mvuto mkubwa kwa kila mtu. Ndege hao huonekana kama pazia kubwa jeupe nyakati zamchana wanapokuwa ziwani kujipatiachakula na mapumziko.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaMkoa wa Manyara bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuZiwa Manyara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
|