Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Zauditu wa Ethiopia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Malkia Zauditu wa Ethiopia

Zauditu (29 Aprili18762 Aprili1930) alikuwa malkia mtawala waUhabeshi kuanzia 27 Septemba 1916 hadi kifo chake. AlimfuataIyasu V. Jina lake la kubatizwa lilikuwaAskala Maryam. Alikuwa mtoto wa kwanza waMenelik II.

Mwanzoni utawala wake ulisumbuliwa na uasi wa Iyasu aliyekuwa ameuzuliwa. Malkia huyu anajulikana kwa jinsi alivyopendadini na alivyokuwa mpinzani mkubwa wa mabadiliko aliyokuwa akiyafanyaRas Tafari Makonnen. Zauditu aligombana sana naye kuhusu mambo ya siasa lakini alishindwa. Naye Tafari alimfuata kama mfalme kwa jina laHaile Selassie.

Makala hii kuhusuKaizari fulani waUhabeshi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuZauditu wa Ethiopia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Zauditu_wa_Ethiopia&oldid=1333131"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp