Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Zaragoza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Zaragoza

Zaragoza (matamshi yaKihispania: θaɾaˈɣoθa; pia:Saragossa[1] kwaKiingereza[2]) nimji waHispania,makao makuu yaMkoa wa Zaragoza na yajumuia ya kujitegemea yaAragon.

Tarehe1 Januari2019 wakazi wake walikuwa 706,904,[3] katika eneo lakm² 1062.64, ukiwa wa tano nchini kwa wingi wa watu, na wa 32 katikaUmoja wa Ulaya.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. "Saragossa". Collins Dictionary. n.d.Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo26 Septemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Encyclopædia BritannicaZaragoza (conventional Saragossa)
  3. Gomar, Carlota (9 Januari 2019)."Zaragoza vuelve a crecer y supera la barrera de los 700.000 habitantes".El Periódico de Aragón (kwa Kihispania).{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Zaragoza travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo yaHispania bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuZaragoza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Zaragoza&oldid=1409270"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp