Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Zama za Shaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja ya silaha za kawaida za shaba wakati wa Zama za Shaba.
Zama za Shaba -Muséum de Toulouse,Ufaransa.

Zama za Shaba (kwaKiingerezabronze age) kilikuwa kipindi chahistoria ambacho watu walitengeneza vifaa vyao kwa kutumiametali yashaba na baadayebronzi yenye mchanganyiko wa metalimbili: vipandetisa vyashaba kwa kipande kimoja chastani.

Malighafi nyingine, kamambao namawe, zilikuwa zikitumika pia kwazana, lakini shaba ilikuwa nzuri zaidi kwa kukatia na kuchongea, na ilikuwa rahisi sana kuitengenezeaumbo la kitu.

Zama hizo za Shaba hazikutokea wakati mmoja kila mahali, kwa sababu makundi tofauti ya watu walianza kutumia shaba kwa vipindi tofauti kabisa. Kwa mfano,Ulaya Magharibi Zama za Shaba ziliisha kunakomiaka ya 2000 KK hadi800 KK. Kumbe upande waMashariki ya Kati zilianza takriban miakaelfumoja nyuma.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuZama za Shaba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Zama_za_Shaba&oldid=1006773"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp