Yusto na Theoklia (walifia dini katikakarne ya 4) walikuwamume namkeWakristo waAleksandria (nchiniMisri) ambao waliuawa kwa kukatwakichwa wakati wadhuluma yaDola la Roma. Hata hivyo waliuawa sehemu na siku tofauti.
Tangu kale wanaheshimiwa kamawatakatifuwafiadini.
Sikukuu ya mume huadhimishwatarehe17 Februari na ya mke tarehe19 Mei.
![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |