Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Yudea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pompeus ndani yaHekalu la Yerusalemu, kadiri yaJean Fouquet.

Yudea (kwaKilatini IVDAEA, kwaKiebrania יהודה, Yehûḏāh au Yehuda, kwaKigiriki Ἰουδαία) ni jina lajimbo laDola la Roma kuanzia mwaka6 hadi135BK.

IliunganishaUyahudi wenyewe,Samaria naIdumea chini yaliwali.

Asili ya jina nikabila la Yuda, ambalo kuanziakarne ya 8 KK lilibaki karibu peke yake kati ya makabila 12 yaIsraeli.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuYudea kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Yudea&oldid=929139"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp