Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Yuda (ufalme)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ufalme wa Yuda (kwaKiebrania מַמְלֶכֶת יְהוּדָה,Mamlekhet Yehuda) ulikuwa nchi yaMashariki ya Kati katikakarne ya 10 KK hadikarne ya 6 KK.[1][2]Mara nyingi unaitwaufalme waKusini kwa sababu ulitokana na mgawanyiko waUfalme wa Israeli ulioendelea upande wakaskazini.

Ufalme huo uliongozwa daima naukoo wa Daudi, isipokuwa miaka 6 (842 KK -837 KK) aliposhikwa utawalamalkiaAtalia,binti audada wa mfalme wa IsraeliAhabu. Hata hivyo kwa muda mrefu watawala wa Yuda walikuwa vibaraka waAshuru au nchi nyingine za jirani.[3][4]).

Hatimaye, chini ya mfalmeSedekia, mfalmeNebukadneza II waBabuloni aliangamiza ufalme huo namji mkuu wake,Yerusalemu, mwaka587, akihamisha kwa awamu tatu wakazi wake hadiMesopotamia.

Mwaka539Koreshi Mkuu, mfalme waPersia, aliteka Babuloni na kuruhusuWayahudi warudi kwao, si tena kama ufalme, bali kamawilaya iliyoitwaYehud, chini yaZerubabeli,kitukuu waYekonia, wa pili kuanzia mwisho kati ya wafalme wa Yuda.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  1. Grabbe, Lester L., ed. (2008).Israel in Transition: From Late Bronze II to Iron IIa (c. 1250–850 B.C.E.). T&T Clark International. ku. 225–6.ISBN 978-0567027269.{{cite book}}:|first= has generic name (help)CS1 maint: multiple names: authors list (link)
  2. Lehman inVaughn, Andrew G.; Killebrew, Ann E., eds. (1992).Jerusalem in Bible and Archaeology: The First Temple Period. Sheffield. uk. 149.{{cite book}}:|first2= has generic name (help)CS1 maint: multiple names: authors list (link)
  3. Thompson, Thomas L. (1992).Early History of the Israelite People. Brill. ku. 410–1.
  4. A History of the Jewish People,H.H. Ben-Sasson ed., Harvard University Press, 1976, page 142: "Sargon's heir, Sennacherib (705-681), could not deal with Hezekiah's revolt until he gained control of Babylon in 702. ..."

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuYuda (ufalme) kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Yuda_(ufalme)&oldid=1257446"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp