Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Yerevan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Yerevan pamoja na mlima Ararat

Yerevan (pia: Erevan, Erivan; kwaKiarmenia: Երեւան au Երևան) nimji mkuu na piamji mkubwa waArmenia.

Idadi ya wakazi ni juu yamilioni moja (mwaka 2004).

Iko kando yamtoHrazdan na kutazamamlima Ararat ambao nimlima mtakatifu wa Waarmenia.

Mji ni wa kale: ulianzishwa kamaboma la Erevuni katikamilki yaUrartu mnamo782 KK.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo yaAsia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuYerevan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Yerevan&oldid=1121727"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp