Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Yen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sarafu ya yen 10
Yen 1000

Yen ni pesa nchiniJapani. Alama yake ya kimataifa ni¥ lakini Japani penyewe huandikwa. Yen imekuwa pesa inayotumiwa sana duniani baada yadolar naeuro.

Pesa hii ilianzishwa mwaka 1871 na serikali yaMeiji ikifuata mifano ya pesa zaUlaya. Mwanzoni ililinganishwa na gramu 1.5 zadhahabu.

Thamani ya pesa ilishuka wakati waVita Kuu ya Pili ya Dunia na baada ya vita kiwango chake kwadollar ya Marekani kiliweka kwa ¥360 kwa US$1. Mwaka 2008 ilikuwa ¥104 kwa US$1.

Tangu kuimarika kwa uchumi wa Japani Yen imekuwa pesa muhimu duniani.

Kuna noti za Yen 1,000, 2,000, 5,000 na 10,000.

Makala hii kuhusu mambo yauchumi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuYen kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Yen&oldid=1268804"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp