Winston Foster[1] (anajulikana zaidi kwa jina la kisaniiYellowman na pia kamaKing Yellowman) ni mwimbaji wareggae nadancehall kutokaJamaika. Alianza kupata umaarufu Jamaika miaka ya 1980, akipata sifa kubwa kupitia mfululizo wa nyimbo zilizomjengea jina.[2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)