Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Xbox One

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vifaa vyaXbox one

Xbox One nikifaa chaXbox kilichotengenezwa naMicrosoft. Xbox one ilitangazwaMei2013, ni mrithi waXbox 360 na aina ya tatu katika familia ya Xbox. Xbox one kwa mara ya kwanza ilitolewaAmerika ya Kaskazini, sehemu zaUlaya,Australia, naAmerika Kusini mnamoNovemba2013 na katikaJapan,China nanchi nyingine zaUlaya ilitolewaSeptemba2014.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado nimbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusuXbox One kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Xbox_One&oldid=1034380"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp