Ellen Axson Wilson (m.1885–1914) «start:(1885-06-24)–end+1:(1914-08-07)»"Marriage: Ellen Axson Wilson to Woodrow Wilson"Location:(linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Woodrow_Wilson) Edith Wilson (m.1915) «start:(1915-12-18)»"Marriage: Edith Wilson to Woodrow Wilson"Location:(linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Woodrow_Wilson)
watoto
Margaret Woodrow Wilson Jessie Woodrow Wilson Sayre Eleanor Wilson McAdoo
mhitimu wa
Princeton University (Bachelor of Arts) University of Virginia Johns Hopkins University (Master of Arts; Doctor of Philosophy)
Katika siasa yake alipunguzakodi nyingi, aliundabenki kuu yataifa na kuweka mipaka kwa athira yamakampuni makubwa yaliyowahi kusimamiasoko kwa mapatano kuhusubei yabidhaa na hivyo kuzuia makampuni mapya. Alifaulu kupitisha sheria iliyoanzishamuda wakazi kuwasaanane kwasiku. Alianzisha pia mfumo wa kusaidiawakulima.
Wakati wavita, Wamarekani Weusi wengi waliitwa kuwawanajeshi, wakapatamalipo sawa na wote wengine lakini walipangwa katika "vikosi vyeusi" ambamoaskari Weusi walihudumia chini ya maafisa Wazungu.
Hata hivyo, Wilson alijaribu kufikia aina yaamani iliyoepuka masharti makali dhidi ya washindwa wa vita, pamoja na kukubali haki ya mataifa ya kujiamulia wenyewe. Hapo hakufaulu katikaMkataba wa Versailles lakini aliweza kuanzishaShirikisho la Mataifa Kutokana na upinzani wa Ufaransa naItalia kama ushirikiano wa mataifa kwa shabaha ya kuzuia vita tena. Kwa jitihada zake alipewaTuzo ya Nobel ya Amani kwenye mwaka1919.
↑Foner, Eric."Expert Report of Eric Foner".The Compelling Need for Diversity in Higher Education. University of Michigan. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo Mei 5, 2006.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
↑Feagin, Joe R. (2006).Systemic Racism: A Theory of Oppression. CRC Press. uk.162.ISBN978-0-415-95278-1.Wilson, who loved to tell racist 'darky' jokes about black Americans, placed outspoken segregationists in his cabinet and viewed racial 'segregation as a rational, scientific policy'.
↑Gerstle, Gary (2008). John Milton Cooper Jr. (mhr.).Reconsidering Woodrow Wilson: Progressivism, Internationalism, War, and Peace. Washington, D.C.: Woodrow Wilson International Center For Scholars. uk.103.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuWoodrow Wilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.