Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Wisconsin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Jimbo la Wisconsin
Wisconsin

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Marekani Marekani
Mji mkuuMadison
Eneo
 - Jumla169,639km²
 - Kavu140,663 km² 
 - Maji28,976 km² 
Tovuti:  http://www.wisconsin.gov/

Wisconsin nijimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika auMarekani. Mji mkuu niMadison na mji mukubwa niMilwaukee. Jimbo lina wakazi wapatao 5,627,967 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 169,790. Mipaka asilia niZiwa Michigan upande wa mashariki naZiwa Superior upande wa kazkazini. Imepakana naMichigan,Illinois,Iowa naMinnesota.

Miji

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo yaMarekani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuWisconsin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Wisconsin&oldid=1121943"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp