Wilaya ya Samburu | |
![]() | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Mji mkuu | Maralal |
Eneo | |
- Jumla | 20,182.5km² |
Idadi ya wakazi (2009Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 223,947 |
Wilaya ya Samburu ilikuwawilaya mojawapo yaMkoa wa Bonde la Ufa waJamhuri yaKenya hadi ilipopitishwakatiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwamjiniMaralal.
Kwa sasa imekuwakaunti ya Samburu.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaMkoa wa Bonde la Ufa bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuWilaya ya Samburu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |