Wilaya ya Machakos | |
![]() | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Mji mkuu | Machakos |
Eneo | |
- Jumla | 5,952.9km² |
Idadi ya wakazi (2009Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,098,584 |
Wilaya ya Machakos ilikuwawilaya mojawapo yaMkoa wa Mashariki waJamhuri yaKenya hadi ilipopitishwakatiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwamjiniMachakos.
Kwa sasa imekuwakaunti ya Machakos.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaMkoa wa Mashariki bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuWilaya ya Machakos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |