Wilaya ya Kajiado | |
![]() | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Mji mkuu | Kajiado |
Eneo | |
- Jumla | 21,292.7km² |
Idadi ya wakazi (2009Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 687,312 |
Wilaya ya Kajiado ilikuwawilaya mojawapo yaMkoa wa Bonde la Ufa waJamhuri yaKenya hadi ilipopitishwakatiba mpya ya nchi (2010).
Ilikuwa na jumla ya wakazi 406,054 na ukubwa wa eneo la kilomita mraba 21,903[1]. Wilaya hii ilipakana na mji waNairobi na kuendelea hadi kwenye mpaka wa Kenya naTanzania kusini zaidi.
Makao makuu yalikuwamjiniKajiado.
Kwa sasa imekuwakaunti ya Kajiado.
Serikali za Mitaa(Baraza ya Miji) | |||
Serikali ya Mtaa | Aina | Idadi ya Watu | Wakaazi wa mjini* |
---|---|---|---|
Kajiado | mji | 12,204 | 9,128 |
Olkejuado | Baraza la mji | 393,850 | 71,223 |
Jumla | - | 406,054 | 80,351 |
Wilaya hii ilikuwa imegawanywa katika taarafa saba za utawala. Tarafa mpya yaIsinya haijajumuishwa kwenye jedwali lifuatalao kulingana na sensa ya 1999:
Maeneo ya utawala | |||
Tarafa | Idadi ya Watu | Wakaazi wa mjini* | Makao makuu |
---|---|---|---|
Mkoa wa Kati | 69,402 | 16,444 | Kajiado |
Loitokitok | 95,430 | 7,495 | |
Magadi | 20,112 | 0 | Magadi |
Mashuru | 35,666 | 2,248 | Mashuru |
Namanga | 35,673 | 5,503 | Namanga |
Ngong | 149,771 | 20,657 | Ngong |
Jumla | 406,054 | 38,299 | - |
Kulikuwa na maeneo bunge matatu katika wilaya hiyo: