Wilaya ya Baringo | |
![]() | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Mji mkuu | Kabarnet |
Eneo | |
- Jumla | 11,075.3km² |
Idadi ya wakazi (2009Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 555,561 |
Wilaya ya Baringo ilikuwawilaya mojawapo yaMkoa wa Bonde la Ufa waJamhuri yaKenya hadi ilipopitishwakatiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwamjiniKabarnet.
Kwa sasa imekuwakaunti ya Baringo.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaMkoa wa Bonde la Ufa bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuWilaya ya Baringo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |