Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Wengu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wengu labinadamu lililotolewa katikamaiti.

Wengu (pia "bandama "; kwaKiingerezaspleen, kutokaKigiriki: σπλήν[1]) nikiungo chamwili chenye nafasi katikamzunguko wa damu. Iko ndani yafumbatio ya mwili karibu natumbo.

Wengu yamtu mzima huwa na ukubwa wa takribansentimita 11 × 7 × 4 nauzito wagramu 150-200.

Kazi yake ni kuongezaidadi yaseli nyeupe za damu halafu kuondoaseli nyekundu za damu zilizozeeka.

Katikawatoto ina piajukumu la kutengeneza seli nyekundu zadamu. Watu wazima kwa kawaida wanaweza kuishi bila wengu.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. σπλήν,Henry George Liddell, Robert Scott,A Greek-English Lexicon, on Perseus Digital Library
Makala hii kuhusu mambo yaanatomia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuWengu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Wengu&oldid=1028426"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp