Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Wayazidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wanawake wa Kiyazidi wakiwa wamevaanguo zakitamaduni.

Wayazidi nikabila la watu wanaoishi hasa katika eneo laKurdistan[1][2][3] na kwa namna ya pekee katika sehemu yake nchiniIraq[4][5], lakini wengine wengi wamekimbiliaUjerumani[6][7] na nchi nyingine.

Wanakadiriwa kuwamilionimoja au mojaunusu.

Wanafuatadini yao maalumu ambayoinamuabuduMungu mmoja tu. Kwa ajili yake wamedhulumiwa sana naWaislamu waliotawala eneo lao, kwanzaWaarabu, halafuWaturuki.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Nelida Fuccaro (1999).The Other Kurds: Yazidis in Colonial Iraq. London & New York: I. B. Tauris. uk. 9.ISBN 1860641709.
  2. Pirbari, Dimitri; Grigoriev, Stanislav.Holy Lalish, 2008 (Ezidian temple Lalish in Iraqi Kurdistan).
  3. Omarkhali, Khanna (2017).The Yezidi religious textual tradition, from oral to written : categories, transmission, scripturalisation, and canonisation of the Yezidi oral religious texts: with samples of oral and written religious texts and with audio and video samples on CD-ROM.ISBN 978-3-447-10856-0.OCLC 994778968.
  4. Kane, Sean (2011)."Iraq's disputed territories"(PDF).PeaceWorks.United States Institute of Peace. Iliwekwa mnamo15 Oktoba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "On Vulnerable Ground – Violence against Minority Communities in Nineveh Province's Disputed Territories"(PDF).Human Rights Watch. Novemba 2009. Iliwekwa mnamo15 Oktoba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Alkaidy, Gohdar (28 Januari 2019)."Mir Tahsin Said Beg: Oberhaupt der Jesiden stirbt im deutschen Exil". Iliwekwa mnamo19 Mei 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Meyer, Natalie Lydia."Geschichten vom Leid der Verfolgung".Westfalen-Blatt (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo19 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Wayazidi&oldid=1347372"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp