Watumishi wa Wagonjwa
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Wakamili au(Makleri Watawa) Watumishi wa Wagonjwa ni jina la shirika laKanisa Katoliki lililoanzishwa naKamili wa Lellis.
Mnamo Juni2006, shirika lilikuwa na kanda 14, baadhi yake zikiwa na nyumba za kitawa nje ya nchi husika, k.mf. katikaJimbo Kuu la Dar-es-Salaam nchiniTanzania.