Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

WatchOS

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

WatchOS ni mfumo wa uendeshaji unaotumiwa kwenyeApple Watch[1]. Ni kama mfumo wa saa hiyo, inayoruhusu kifaa kufanya mambo mengi kama vile kupima mazoezi, kupokea ujumbe, kuangalia saa natarehe, na hata kutumiaprogramu mbalimbali. Inaunganisha saa na mfumo waiOS kwenye simu yaiPhone ili kurahisisha mwingiliano na kutoa huduma anuwai.


Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. "Apple Watch runs 'most' of iOS 8.2, may use A5-equivalent processor".AppleInsider. Aprili 23, 2015.Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 26, 2015. Iliwekwa mnamoAprili 25, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=WatchOS&oldid=1308209"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp