Warshawa imekuwa mji tangukarne ya 13, ikawa mji mkuu wa Poland mwaka1596.
Iliharibiwa mara nyingi katikahistoria yake, hasa wakati wavita kuu ya pili ya dunia. Wapoland walijaribu kuasi dhidi ya Wajerumani walioshika mji kati ya miaka1939 na1944; pamoja na vifo vingi,asilimia 90 zanyumba zote ziliharibiwa.
Baada yavita mji ulijengwa upya mara nyingi kwa kurudisha nyumba zinazofanana na nyumba za kale.
Makala hii kuhusu maeneo yaPoland bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuWarshawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.