Walowezi (kutokakitenzi "kulowea"; pia:setla, kutoka Kiingereza "settler") ni watu ambaowamehamia katika eneo fulani na kuanzishamakazi ya kudumu pale, hata mara nyingikulitwaa eneo hilo. Makazi mara nyingi hujengwa kwenyeardhi ambayo inadaiwa au inayomilikiwa na watu wengine.
Wao wenyewe wakati mwingine huondoka katika kujitafutiariziki auuhuru wa dini[1].
Mara nyingine walowezi huungwa mkono naserikali au nchi kubwa au tajiri[2].
Sababu za kuhama kwa walowezi hutofautiana, lakini mara nyingi huwa ni mambo yafuatayo: hamu ya mwanzo mpya namaisha bora katika nchi ya kigeni, hali duni yakifedha,dhuluma yakidini[1], yakijamii, yakiutamaduni au yakikabila[2], kukandamizwakisiasa, nasera kutoka serikali zinazowapa motisha wananchi kwa lengo la kuhamasisha makazi ya kigeni.[3]
{{cite journal}}
:Check date values in:|date=
(help)![]() | Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuWalowezi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |