Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kanisa la Wakaldayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaWakaldayo)
Patriarki mstaafu,kardinaliEmmanuel III Delly.
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja waMungu
Utatu (Baba,Mwana,Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa:Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Kanisa Katoliki la Wakaldayo (kwaKiaramu ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ ,ʿītha kaldetha qāthuliqetha) ni mojawapo kati yaMakanisa Katoliki ya Mashariki, likifuatamapokeo yaMesopotamia na kutumialiturujia ya Mesopotamia[1].

Idadi ya waamini leo ni zaidi ya 600,000[2][3], wengi wao wakiwa wenyeji waMesopotamia.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Kanisa hilo linachangahistoria moja naKanisa la Asiria hasa hadi mwaka1552, lilipotokeafarakano kati yao, huku waliojiita Wakaldayo wakiungana naKanisa Katoliki kama walivyotangulia kufanya wenzao kadhaa waCyprus mwaka1445[4]

Muundo

[hariri |hariri chanzo]

Kanisa hilo linaongozwa naPatriarki waBaghdad,Iraki, kwa sasaLouis Raphaël I Sako (kwa Kisiria: ܠܘܝܣ ܪܘܦܐܝܠ ܩܕܡܝܐ ܣܟܘ) aliyezaliwa tarehe4 Julai1948 na anayeishiBaghdad.[5]

Chini yake kuna majimbo katika nchi hiyo (250,000 waamini), katika nchi nyingine zaMashariki ya Kati (Iran,Siria,Uturuki,Lebanon naMisri) na kwenye mtawanyiko uliotokana na waamini kuhama kwa sababu ya hali ngumu hasa yavita nadhuluma:Marekani,Kanada,Australia naNew Zealand n.k.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. "TQ & A on the Reformed Chaldean Mass". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2009-01-02. Iliwekwa mnamo2009-02-07.
  2. Ronald Roberson."The Eastern Catholic Churches 2010"(PDF). Catholic Near East Welfare Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo(PDF) mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo Desemba 2010.{{cite web}}:Check date values in:|accessdate= (help) Information sourced fromAnnuario Pontificio 2010 edition
  3. "CNEWA - Chaldean Catholic Church". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2010-03-16. Iliwekwa mnamo2012-10-16.
  4. Council of Florence,Bull of union with the Chaldeans and the Maronites of Cyprus Session 14, 7 Agosti 1445[1]
  5. "AP". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2007-06-09. Iliwekwa mnamo2012-10-16.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKanisa la Wakaldayo kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kanisa_la_Wakaldayo&oldid=1300963"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp