Wahan (kwaKiing.Han Chinese) ni kundi la kimbari lenyeasili katikaAsia ya Mashariki. 92% za watu waChina ni Wahan, kwa jumla nibilioni 1.4[1]. Kati ya watu woteduniani, 19% ni Wachina wa Han. Wachina wa Han wana viwango vya juu zaidi katika Mikoa ya Mashariki ya China, haswa katikamikoa yaHebei,Jiangsu naGuangdong. Kuna milioni kumi kadhaa za Wahan nje ya China yenyewe, wengi wao wanaishiAsia ya Kusini-Mashariki.
Asili ya Wahan walikuwamakabila katikakaskazini ya nchi yaliyolima kwenye maeneo yaMto Njano[2]. Makabila hayo yalikuwa pia msingi wamilki zanasaba za kwanza.
Makabila ya Wahan yaliendelea kuenea katika China ya Kusini kwa njia ya walowezi waliotafutamashamba mapya nauvamizi wakijeshi. Makabila mengi ambayo hayakuwa Wahan kiasili yalipokeautamaduni nalugha ya Wahan.
Jina la "Wahan" lilianza kutumiwa wakati wanasaba ya Han.[3]
- ↑CIA Factbook Archived 13 February 2021(Date mismatch) at the Wayback Machine: "Han Chinese 91.1%" out of a reported population of 1,410,539,758 (2022 est.)
- ↑Minahan, James B. (2015). Ethnic Groups of North, East, and Central Asia: An Encyclopedia. ABC-CLIO. pp. 89–90. ISBN 978-1-61069-017-1.
- ↑Perkins, Dorothy (1998). Encyclopedia of China: History and Culture. Checkmark Books. p. 202. ISBN 978-0-8160-2693-7.