Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Wahamaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wabeja katikaAfrikaKaskaziniMashariki.
Watuareg nchiniMali,1974.

Wahamaji niwatu wasio na makao ya kudumu ama kwa sababu ya kuwawawindaji-wakusanyaji, ama kwa kuwatimizia mahitajimifugo yao katikamazingira magumu, ama kwa sababu wanazunguka daima kuuzabidhaa zao.

Mwaka1995 walikadiriwa kuwamilioni 30-40duniani kote.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuWahamaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Wahamaji&oldid=1146386"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp