Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Wabukusu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyumba ya Wabukusu

Wabukusu ni kati ya koo kubwa zaWaluhya (Abaluhya) katikamagharibi yaKenya namashariki-kusini yaUganda kwenye mitelemko yamlimaElgon. Eneo lao katika Kenya ni hasakaunti ya Bungoma. Wako piaKitale hukoBonde la Ufa.

Idadi yao ilikadiriwa kuwa karibu lakhi sita mwaka 1987.

Wakati wa kuja kwa ukoloni Wabukusu walijaribu kuwazuia Waingereza. Mwaka 1895 walijitetea katika Boma la Chetambe karibu na Bungoma lakini walishindwa na silaha kali za Waingereza.

Upinzani ulirudiwa katika miaka ya 1940 na 1950 Wabukusu wengi walipomfuataElijah Masinde na jumuiya yake ya Dini ya Musambwa.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu utamaduni waKenya bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuWabukusu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Wabukusu&oldid=1120923"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp