Kitambaa (piakitambara) ni kipande cha tambaa aujora ambalo kimekatwa ili kushoneavazi labinadamu, kama vileshati,sketi ausuruali, au kwa madhumuni mengine, kama vile kutandikameza,kochi ausamani nyingine, kushoneapazia, kurembesha, kupenga, kuosha, kupangusavitu zilizomwagikiwakiowevu na pia vitu vikavu kama vilemadirisha yaglasi n.k.
Siku hizi vitambaa vinatengenezwa kwa kawaida katikaviwanda. Mara nyingi hutengenezwa kwa kuunganishanyuzi pamoja, ziwe zaasili au vitu vilivyotengenezwa namwanadamu. Mifano ya nyuzi za asili nipamba nahariri. Mifano ya nyuzi zilizotengenezwa na binadamu ninailoni naakriliki[1].
Rangi ya kitambaa inazingatiwa sana katika matumizi, kulingana nautamaduni, hali n.k.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKitambaa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |