Virgil van Dijk alizaliwa 8 Julai1991 ni mchezaji wa kulipwa kutoka nchiniUholanzi,ambaye anacheza kama beki wa kati katika klabu yaLiverpool na timu ya taifa ya Uholanzi. Anachukuliwa kuwa mmoja wa mabeki bora zaidi duniani, Van Dijk anajulikana kwa nguvu zake, uongozi na uwezo wake mkubwa katika mipira ya juu pindi awapo uwanjani.[1][2]
Baada ya kuanza ndoto yake ya mpira na klabu yaGroningen, Van Dijk alihamiaCeltic mwaka wa 2013. Akiwa na Celtic alishinda Premiership yaUskoti na alichaguliwa katika timu ya mwaka ya PFA ya Uskoti katika misimu yake yote miwili na klabu, na kushinda Kombe la Ligi ya Uskoti katika nafasi ya pili. Mnamo 2015, alijiunga naSouthampton kabla ya kusajiliwa na LiverpoolJanuari 2018 kwa £75million, ada ya uhamisho ya beki ambayo ilivunja rekodi ya dunia wakati huo.Akiwa na Liverpool, Van Dijk alicheza na kufikia fainali zaUEFA katika2018 na2019, na kushinda.
Pia alitajwa kuwa Mchezaji bora wa mwaka wa Wachezaji wa PFA na mchezaji bora wa msimu wa ligi Kuu katika msimu wake wa kwanza. Van Dijk baadaye alishindaKombe la Dunia la Vilabu laFIFA la 2019 na UEFA Super Cup 2019, na kusaidia kumaliza ukame wa miaka 30 wa taji laligi kwa kushinda ligi Kuu ya 2019-20. Ndiye beki pekee aliyeshinda tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa UEFA,na amemaliza wa pili kwenye kinyang'anyiro cha tuzo yaBallon d'Or na mchezaji bora wa Wanaume wa FIFA, kwa mwaka huohuo wa 2019.[3]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuVirgil van Dijk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
↑"The Best FIFA Men's Player". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 7 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo2 Septemba 2019.{{cite web}}:More than one of|accessdate= na|access-date= specified (help);More than one of|archivedate= na|archive-date= specified (help);More than one of|archiveurl= na|archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)"Virgil van Dijk wins UEFA Men's Player of the Year award". UEFA. 29 Agosti 2019. Iliwekwa mnamo29 Agosti 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)