Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Vincent shemasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake iliyochorwa namsaniiTomas Giner (1462-1466).

Vinsenti (Huesca,karne ya 3 -Valencia,304) alikuwashemasi wajimbo laZaragoza,Hispania.

Wakati wadhuluma yaKaisari Dioklesian dhidi yaWakristo, alifungwa na kuachwa bilachakula, akateswa vikali sana, hatimaye akafa kwa ajili yaimani yake.[1].

Heshima ya watu kwake kamamtakatifu ilienea haraka sana katikaKanisa lote.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwakatarehe22 Januari[2].

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/25850
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Vincent_shemasi&oldid=1413452"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp