Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Vidiadhar Surajprasad Naipaul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
V. S. Naipaul

Vidiadhar Surajprasad Naipaul (V.S. Naipaul) (amezaliwa17 Agosti1932) ni mwandishi kutoka kisiwa chaTrinidad. Ameandikariwaya zake bila rajua, na zinaonyesha maisha magumu katika nchi zinazoendelea. Mwaka wa 2001 alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuVidiadhar Surajprasad Naipaul kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Vidiadhar_Surajprasad_Naipaul&oldid=984670"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp