Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Vichy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mji wa Vichy


Vichy ni mji waUfaransa. Baada ya kushindwa kwa Ufaransa na Ujerumani mwaka 1940 katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilikuwa makao makuu yaserikali ya Vichy chini ya jenerali Petain iliyotawala sehemu za nchi zisizotwaliwa bado na Ujerumani pamoja na koloni hadi 1944.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo yaUfaransa bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuVichy kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Vichy&oldid=1121152"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp