Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Veracruz, Veracruz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Veracruz
Jiji la Veracruz
NchiMexiko
JimboVeracruz
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla444,438
Tovuti:  www.veracruz-puerto.gob.mx

Veracruz (jina rasmi:Puerto de Veracruz;Kiswahili: Bandari ya Veracruz) ni mji mwenye bandari muhimu katika jimbo la Veracruz. Eneo lake ni 241km² lenye wakazi 444,438 (mwaka2005).

Jina la Veracruz ni yaKihispania, maana yake nimsalaba halisi.

Mji ulianzishwa naHernando Cortes mnamo1519.

Makala hii kuhusu maeneo yaMexiko bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuVeracruz, Veracruz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Veracruz,_Veracruz&oldid=1119935"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp