Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Vampiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vampiri
Vampiri.

Vampiri ni madubwana katikahadithi nahekaya. Hadithi za kwanza za vampiri zilihadithiwa hukoUlaya Mashariki, lakiniwatu wengi wanadhani vampiri waliundwa naBram Stoker katikariwaya maarufu,Dracula. Watu wachache wanaamini kuwa vampiri wanaishi, lakini bado ni maarufu sana katikasinema,televisheni, navitabu.

Vampiri hapo zamani walikuwa watu lakini wana laana ya kiuchawi. Vampiri lazima wanywedamu ili kuishi. Wao hufanya hivyo kwa kuuma watu au wanyama kwenyeshingo nameno yao mawili marefu. Watu ambao wanauliwa na vampiri kwa kunyonywa damu wanaweza pia kuwa vampiri kama wao baada ya kufa. Katika hadithi nyingi, vampiri wanaweza kubadilika kuwawanyama wengine, kwa kawaidapopo, ingawa piambwa mwitu,paka aupanya.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuVampiri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.

Lakin pia vampire wanaenezwa na virus wanaoitwa VBT-16

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Vampiri&oldid=1313370"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp