Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kaizari Valerian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaValerian)
Shaba inayoonyesha Kaizari Valerian
Udhalilishaji wa Kaisari Valeriani uliofanywa naShapur I; mchoro waHans Holbein the Younger,1521 hivi.

Publius Licinius Valerianus (takriban193/200260/264) alikuwaKaizari waDola la Roma kuanziatarehe22 Oktoba253 hadi260 alipotekwa namfalmeShapur I waUajemi. Jambo hilo jipya lilitikisadola lote.

Wakati alipoandaavita yake dhidi ya Uajemi aliamurusadaka kwamiunguya Roma zitolewe pia naWakristo. Aliposikia kwamba walikataa aliagiza kuuamaaskofu; Wakristo wengine waliokuwa nacheo walipoteza cheo namali na kuuzwa kamawatumwa wakikataa sadaka hiyo[1]. Alitawala pamoja namwana wake,Kaizari Galienus. Baada yakifo chababa yake, Galienus alisimamishadhuluma dhidi ya Wakristo. AlimfuataAemilianus.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. W. H. C. Frend (1984).The Rise of Christianity. Fortress Press, Philadelphia. p. 326.ISBN 978-0800619312.
Makala hii kuhusuKaizari fulani waRoma bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKaizari Valerian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kaizari_Valerian&oldid=1246204"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp