Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Valentina Tereshkova

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Valentina Tereshkova

Valentina Vladimirovna Tereshkova (Kirusi Валентина Владимировна Терешкова) (*6 Machi1937) alikuwamwanaanga kutokaUmoja wa Kisovieti na mwanamke wa kwanza aliyefika kwenyeanga-nje.

Alikuwa mtoto wa mkulima aliyeendelea kusoma uhandisi akafaulu kupita mtihani kwa shule ya wanaanga mwaka 1962.

Tar.16 Juni1963 alirushwa kwachombo cha anganiVostok 6 akazunguka dunia mara 49 akarudi duniani 19 Juni.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Valentina_Tereshkova&oldid=1302004"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp