Uwanja wa Michezo wa Mario Alberto Kempes
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Uwanja wa Michezo wa Mario Alberto Kempes ni uwanja wampira wa miguu nchiniArgentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka1978 kwenye mji waCórdoba nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Belgrano (C), Instituto, Racing (C), Talleres (C) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 57,000.[1]
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado nimbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusuUwanja wa Michezo wa Mario Alberto Kempes kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |