Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Uvimbe wa ubongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha inayoonyesha uvimbe katika ubongo.

Uvimbe wa ubongo (kwaKiingerezaencephalitis) niugonjwa ambao husababishaubongo kuvimba ghafla. Kwa kawaida husababishwa navirusi,bakteria (kwaKiingerezaGranulomatous amoebic encephalitis)[1], au vijidudu vingine. Kadiri ubongo unavyovimba, huweza kuharibiwa wakati unapokwaruzana nafuvu.

Uvimbe wa ubongo unaweza kusababishadalili hatarishi kama vile kupatakifafa nakiharusi, na hii inaweza kuwa mbaya zaidi.

Mwaka2013, ugonjwa wa uvimbe wa ubongo uliua watu 77,000duniani.

Ishara na dalili

[hariri |hariri chanzo]

Kwa kawaida,watu wazima wenye ugonjwa wa uvimbe wa ubongo wanahoma inayoanza ghafla,maumivu yakichwa, kuchanganyikiwa, na wakati mwinginekifafa.Watoto wadogo au watoto wachanga wanaweza kuwa nahasira, hawataki kula, na hupatwa nahoma.

Kwa kawaida wagonjwa huwa wanachoka sana au wanachanganyikiwa.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.cdc.gov/parasites/acanthamoeba/index.html
Makala hii kuhusu mambo yatiba bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuUvimbe wa ubongo kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Uvimbe_wa_ubongo&oldid=1120244"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp