Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Utendaji (serikali)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tawi laUtendaji, piamkono wa utendaji, ni tawi laserikali ambalo hutendeshamamlaka ya serikali. Katika mifumo yakisiasa iliyotengenezwa kutumiakanuni zautengano wa nguvu, mamlaka yamegawiwa kati ya matawi ya utendaji,bunge namahakama, ili kuzuia kukolea kwa nguvu kati ya kikundi kidogo cha watu. Katika mfumo huo, kazi ya utendaji ni kutekeleza sheria kama iliyoandikwa na bunge na kuelezewa na mahakama[1][2]. Tawi la utendaji linaweza kutoa amri za utendaji,kifalme aurais ambazo ni aina yasheria. Serikali na taasisi zake kama vile,Mashirika ya umma,tume,kamati,halmashauri aubodi (ambazo huwa sehemu ya utendaji), zinaweza kuandikakanuni ambazo pia ni aina ya sheria.

Sehemu yamfululizo wa serikali kuhusu
Utendaji
Mkuu wa Nchi
Serikali
Baraza la Mawaziri
Mifumo

Mkono wa utendaji huwa naviongozi wafuatao:

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. History.com staff, "THREE BRANCHES OF GOVERNMENT", History.com, ilipatikana mnamo 27-03-2018
  2. "THE STRUCTURE OF GOVERNMENT IN THE CONSTITUTION OF KENYA 2010", Chuo Kikuu Cha Nairobi, ilipatikana mnamo 27-03-2018
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Utendaji_(serikali)&oldid=1027157"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp