Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Utah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Jimbo la Utah







Utah

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Marekani Marekani
Mji mkuuSalt Lake City
Eneo
 - Jumla219,887km²
 - Kavu212,751 km² 
 - Maji7,136 km² 
Tovuti:  http://www.utah.gov/

Utah ni jimbo laMarekani upande wa magharibi ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa niSalt Lake City (mji ya ziwa wa chumvi). Imepakana naIdaho,Wyoming,Colorado,Arizona, naNevada. Jimbo lina wakazi wapatao 2,736,424 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 219,887. Tangu1896 eneo lilipata hali ya jimbo la kujitawala.

Gavana amekuwa tangu Agosti 2009 Gary Richard Herbert.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo yaMarekani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuUtah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Utah&oldid=1121946"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp