Usambazaji (kutokakitenzi "kusambaa") ni kitendo cha kusambazahuduma auvitu katika sehemu mbalimbali. Usambazaji unaweza kutumiamikono,vyombo vya habari,vyombo vyamoto (magari,pikipiki n.k.),mtandao n.k.
Kuna njia kuumbili za usambazaji wa habari:
1.Mazungumzo.
2.Maandishi.
Makala bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari. |