Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Uruguay (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto wa Uruguay
Chanzomilima ya Serra Geral (Brazil)
MdomoRio Plata
NchiBrazil,Argentina,Uruguay
Urefu1,790 km
Kimo chachanzotakriban 1,800 m
Mkondo4,622 m³/s
Eneo labeseni370,000 km²
Miji mikubwa kando lakeConcepción del Uruguay, Paysandu,
Mto Uruguay

Uruguay nimto waAmerika Kusini. Pamoja namto Parana unaishia katikaRio de la Plata.Jina Uruguay linamaanisha "mto wa ndege ya rangi nyingi".

Chanzo chake niBrazil ya Kusini kwenyejimbo laSanta Catarina. Mwanzo wake ni mpaka kati ya majimbo ya Santa Catarina naRio Grande do Sul ndani ya Brazil; baada ya mpaka kati ya Brazil naArgentina, halafu kati ya Argentina naUruguay.

Jina la nchi ya Uruguay limetokana na mto huo na ni "Jamhuri upande wa magharibi ya mto Uruguay".

Meli haziingii sana ndani ya Uruguay kutokana namaporomoko yake.

Ramani ya njia ya mto Uruguay

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo yaAmerika Kusini bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuUruguay (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Uruguay_(mto)&oldid=1259019"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp