Uria Mhiti
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Uria Mhiti alikuwaaskari shujaa na mwaminifu wajeshi lamfalme Daudi (mnamo mwaka1000 KK hivi).
Aliuawavitani kutokana na mpango wa Daudi wa kufichauzinifu alioufanya namke wake,Betsheba.
Habari zake zinapatikana katikaKitabu cha Pili cha Samueli, sura ya 11.
![]() | Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuUria Mhiti kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |