Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Urano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Urano
Mozaiki ya Urano naGaya
Mungu wa mbingu
MakaoMbinguni
MwenziGaya
WazaziGaya
NduguPonto
WatotoTitani Kumi na Wawili,Siklopsi,Nimfa-miti,Furia Watatu,Giganti naAfrodita
Ulinganifu wa KirumiCaelus

Urano auUranos (kwaKigiriki Οὐρανός, ouranos) alikuwamungu wambingu katikadini yaUgiriki ya Kale.Mama yake alikuwa mungu wa kwanzaGaya ambaye niardhi yenyewe.

Baadaye alianza kuzaliana na mamake kizazi cha pili chamiungu katikaMitholojia ya Kigiriki: kati hao kundi walioitwaWatitani.

Kutoka wale Titani ni mdogo waoKronos aliyempindua baba na kuwa mkuu wa miungu hadi mwenyewe alipopinduliwa naZeu.

Analingana naCaelus katikadini ya Roma ya Kale.

Jina la mungu huyu lilichaguliwa katikakarne ya 19 kuitajasayari yasabaUranus baada ya sayari hii kugunduliwa namwanafalaki Herschel kwa kutumia mitambo ya kisasa ya wakati wake.

Mchoro waUhasi wa Urano, uliofanywa naGiorgio Vasari naCristofano Gherardi.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Urano&oldid=1302074"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp