Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Uraia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uraia ni hali yamtu kutambulika chini yasheria kama mwananchi mwenye haki zote katikanchi fulani. Mtu huyohuyo pengine anaweza kuwa raia wa nchi zaidi yamoja. Hata hivyo kuna watu wasio na uraia wa nchi yoyote.

Mtu anapata uraia kufuatana na sheria za nchi husika. Kwa kawaida ni kwa sababuwazazi wake ni raia wa nchi hiyo naye amezaliwa nchini humo. Lakini si hivyo kila mara, kwa sababu anaweza kuwa na wazazi raia wa nchi tofauti, au anaweza kuzaliwa nje ya nchi yao. Pengine wazazi wenyewe hawakuzaliwa katika nchi ambayo wana uraia wake.

Sheria zinaweza kukubali uraia kwa msingi wa:

  • uraia wa wazazi wote au mmojawapo
  • kuzaliwa nchini
  • kuoana na raia
  • kuandikishwa baada ya kuishi nchini muda mrefu

Mara chache sheria inazuia watu kupewa uraia kwa msingi wadini n.k.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuUraia kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Uraia&oldid=1313878"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp