Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kupika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaUpishi)
Mtu akiwa anapika katikamgahawa hukoMoroko.
Kupika hukoCote d'Ivoire.

Kupika ni mchakato wa kuandaachakula ili kiliwe. Mahali ambapowatu wanafanya hivyo nijikoni, nao wanaitwawapishi.

Joto linaweza kufanywa kwamoto kwa kutumiakuni,mkaa,nishati ya jua au kwajiko la kutumiaumeme.

Tanuri ni sehemu ya jiko ambalo ni kamasanduku. Watu hujenga sehemu hizo kwa kutumiamatofali auudongo.

Kuna njia mbalimbali za kupika chakula. Tunachemsha chakula kwa kukipika ndani yamaji,kukaanga chakula kwa kukipikiasiagi kali namafuta,kuchomanyama kwa kuiweka juu ya moto au kutumia jiko la kisasa la kuchomea nyama zinazotumiamakaa,stima augesi.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKupika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kupika&oldid=1373093"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp