Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Uoto asilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aina na wingi wa uoto wa asili.
     Tundra     Taiga     Temperate broadleaf and mixed forest     Temperate grasslands     Subtropical moist forest     Mediterranean     Monsoon forest     Jangwa     Xeric shrubland     Dry steppe     Nusu-jangwa     Grass savanna     Tree savanna     Tropical and subtropical dry forest     Tropical rainforest     Alpine tundra     Montane forest

Uoto asilia (auUoto wa asili) nimimea yote inayoota kiasili, tofauti na ile inayooteshwa nabinadamu. Kwa hali hiyo uoto wa asili huhusiana moja kwa moja natabia ya nchi, kwa mfanonyasi,msitu,vichaka nambuga.

Msitu ni mkusanyiko wamiti mirefu na mikubwa ambayo huota sehemu kubwa kwa kukaribiana na vichaka ambavyo ni miti midogomidogo na mifupi iliyokusanyika kwa pamoja sana na mbuga ni uoto wakisavana ambao ni kama nyasi.

Uoto wa asili ni matokeo ya athari zahali ya hewa, ambayo nayo huhusiana na kuathiriwa nasura ya nchi. Kwa mfanomisitu minene hustawi katika sehemu zamilima zenyemvua nyingi.

Aina na kiasi cha uoto wa asili hubadilika kadiri mvua inavyobadilika. WUtunzaji wa uoto wa asilia ni njia bora ya kuwezeshamaisha yaafya katikajamii kwa maana kupitia njia mbalimbali za uoto wa asili kuna mvua,hewa nzuri, makazi yawanyama. na kama utunzaji wetu wa uoto wa asilia utakuwa bora, basi utatusaidia sisi pamoja navizazi vijavyo mbeleni.

Makala hii kuhusu mambo yabiolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuUoto asilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Uoto_asilia&oldid=1314877"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp