Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Umri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bibi mwenye umri wa miaka 95 akiwa amempakatamtoto wa miezi 5.

Umri nihesabu ya miaka iliyopita tangukiumbehai alipoanza kuwepo. Kwabinadamu ni kawaida kuihesabu tangu azaliwe, si tangu atungwemimba.

Ukuaji (halafu uzeekaji) wa kiumbehai unaendelea moja kwa moja, lakini wataalamu wanatofautisha hatua muhimu kama vile:utoto,ubalehe,ujana,utu uzima,uzee,ukongwe.

Kila hatua ina sifa zake na matatizo yake maalumu.

Makala hii kuhusu mambo yabiolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuUmri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Umri&oldid=968350"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp